Updates

Full Time za game nne kubwa zilizochezwa Tz march 19 2016

Kwenye game ambazo zimechezwa leo kwenye ardhi ya Tanzania Full Time ya Coastal Union vs Simba SC ilikua 0-2 wakati Stand United vs Ndanda ilikua 1-1 na Majimaji FC vs Mbeya City ilikua 3-1 na game ya Yanga vs APR ya Rwanda ikawa 1-1.

Yanga ambao wanaiwakilisha Tanzania bara kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika wamesogea kwenye round inayofata baada ya ushindi wao dhidi ya APR (Aggregate 3-2)