Header AdsRais Mstaafu dKT. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Tuzo ya Uongozi wa Kisiasa na Utetezi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Speak Up Afrika Bi Kate Campana, katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamis New York Marekani. Tuzo hiyo ni kutambua jitihada na juhudi zake za kufikisha huduma za jamii hususani afya kwa kwa wanawake na watoto.


Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza baada ya kukabidhiwa Tuzo yake na katika shukrani zake za kukubali Tuzo hiyo, amesema Tuzo hiyo ni kwa watoto wote wa Afrika ambao ndio wamemwezesha yeye kupata Tuzo

Weka E-mail yako hapa upate Story

 
M-MEDIA Tz © 2016. All Rights Reserved. Powered by Massacky Media Tanzania
Top