Header Ads

Zikiwa zimepita siku chache tangu msanii wa bongo Fleva na staa wa wimbo ya Pombe, Hamad Ally ‘Madee’ kudaiwa kumpora simu mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mama Makavaka maeneo ya uwanja wa ndege Julius Nyerere Dar es Salaam.

Katika mitandao ya kijamii mapema leo zimesambaa picha zikionesha wimbo mpya wa Madee uitwao ‘Hela’. Wadau na mashabiki wa Bongo Fleva wamehusisha ‘skendo’ ya Madee kupora simu na ujio wa wimbo wake mpya ambao utasikika leo katika vituo mbalimbali vya redio. Skendo hiyo imeonekana kama ni kutafuta ‘Tention’ ili aweze kutoa kibao chake kipya.

 
Wimbo huo umeandaliwa katika studio za ‘Mj Record’ kwa ushirikiano wa waandaaji wawili ambao ni Marco

Weka E-mail yako hapa upate Story

 
M-MEDIA Tz © 2016. All Rights Reserved. Powered by Massacky Media Tanzania
Top