Header AdsMashabiki wa Man United, wameiandikia barua klabu yao wakiitaka kuzungumza na wadhamini wao, Adidas kuacha kumchanganya kiungo Paul Pogba.

Mashabiki hao wamesisitiza kuwa Pogba amekuwa busy na kunyoa mitindo mipya ya nywele kila wiki ili kumfanya awe gumzo na kuitangaza Adidas.

Adidas ambayo ni kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo duniani, inamdhamini Pogba kama ilivyo kwa Man Unites.


Hivi karibuni, Adidas imeelezwa kuwa ikifanya mipango ya kila aina kufanya Pogba awe maarufu zaidi ili nayo iendelee kujitangaza zaidi.

Weka E-mail yako hapa upate Story

 
M-MEDIA Tz © 2016. All Rights Reserved. Powered by Massacky Media Tanzania
Top