Header Ads


Msanii mkubwa kutokea kwenye Sanaa ya Mziki Nchi Burundi Chris Dizzo ambaye anaishi nchini South Africa amesema Burundi kuna wasanii wenye uwezo mkubwa wa kufanya mziki Mzuri ila hamna mtu anayeweza kuiongoza sanaa ya Burundi kama ilivyo kwa Tanzania mfano Alikiba na Diamond Ameya sems hayo akifanyiwa mahojiano na Dj. Dix katika kipindi cha burudani cha Fleva Plus cha Sunrise Radio 94.9FM kwa njia ya Voice Note kutokea South Africa

Weka E-mail yako hapa upate Story

 
M-MEDIA Tz © 2016. All Rights Reserved. Powered by Massacky Media Tanzania
Top