Header Ads

Kmanda wa polisi mkoani Arusha amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo na kutaja idadi ya watu walio fariki ikiwememo wanafunzi 29 na watu wazima 3 akiwemo DerevaAkielezea kutokea kwa tukio hilo kamanda Mkumbo amesema chanzo cha ajali hiyo ni Dereva kushindwa kumudu Barabara ambayo ilikua ina muinuko na kusababisha Gari  aina ya toyota costa kutumbukia bondeni na kusababisha ajali hiyoWeka E-mail yako hapa upate Story

 
M-MEDIA Tz © 2016. All Rights Reserved. Powered by Massacky Media Tanzania
Top